Anselem mathew
Senior Member
- May 17, 2017
- 107
- 66
Kutokana na ufaulu wangu huu niwaza kusoma kozi ya afya ya clinical officer au nursing kwan physics D chemistry C biology C English C math F ila jumla ya matokeo yang ni three ya point 22 na kama sina sifa kweny Co na nursing ni kozi gan nyingne naweza kusoma ya afya lkn kwan napenda sama kusoma afya ushaur wenu ndugu zangu