Natumaini mpo wazima, naombeni mtu mwenye 'idea' ya maswali yanayoweza kutoka katika 'written interview' ya uhamiaji anisaidie, au muundo wa maswali yake unakuaje,' please' naomba anisaidie, asanteni sana.
Natumaini mpo wazima, naombeni mtu mwenye idea ya maswali yanayoweza kutoka katika written interview ya uhamiaji anisaidie, au muundo wa maswali yake unakuaje, plz naomba anisaidie, asanteni sana
Natumaini mpo wazima, naombeni mtu mwenye idea ya maswali yanayoweza kutoka katika written interview ya uhamiaji anisaidie, au muundo wa maswali yake unakuaje, plz naomba anisaidie, asanteni sana
Tatizo sio kujibiwa tujiongeze pia muda mwingine mtu anakuwa offline,so ungevuta subira kidogo mpaka kesho hivi ndo ungenipa hizo lawama, I was offline
So far jumatano watu wanaenda kufanya written interview
Jumamosi walikua wanakaguliwa vyeti
Haya nipe idea ya maswali nimpe mwana

Sawa Kiongozi asisahau kupitia mission,vission za Kuanzishwa kwa Uhamiaji,current issue au hata tararibu za kupata hizi passport mpya vielelezo vipi vinatumika,Pia inaweza badirika ikaangukia kwenye Aptitude ambayo inakuwa general Qns. Mfano Maths,Comm.Skills,Briefly Explain na Technical Problems kila la kheri kwa huyo jamaa lolote laweza tokea.
Mm jmos nilikuja huku nikiwa najiamini kbx na Bachelor degree yng ya MECHANICAL ENGINEERING
Inayosindikizwa na NATIONAL SERVICE CERTIFICATE mujibu wa sheria lkn kumbe hawatutaki kbx sisi mujibu wa sheria na Tena mm nmepiga OP Ya zamani sana OPERATION MIAKA 50 YA JKT 2013
Ndo nkajua wote wa zamani Op :KINJEKITILE hawatutaki kbsa
Tuligomesha kutoka kidogo MP watubebeshe ndoo tukamwagilie