Taja specification zake kwanza[/QUOTE
Yoyote ile kwasababu window 7 imenishinda
Imekushinda kivipi kaka ? ebu funguka vizuri upewe solution maana hiyo windows 7 ndiyo ipo vizuri kwa beginner user
Mkuu jamaa ni mgeni so huenda hajui spec zipojeNaona hujanielewa
so
itabd urud nyuma kdogo hadi window xp
no way out
mashine kali hiyo.....win 7 au 8 zote znaweza kukaa
Sio mgeni sana ila inakataa kusoma game la GTA
Huenda set up za game lako ndiyo kimeo au hujaweka VGA drivers kwa pc au Spec haziruhusu kucheza hilo game Maana Dogo hapa anasugua GTA sanadreas GTA IV etc kwa hiyo hiyo windows 7.
Kwan hilo game linakataa kivipi au tuseme unapata msg gani?
Grand theft auto VC cannot find enough available video memory