Msaada wa window 8.1 Activator

Siafu na Manga

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
2,893
Reaction score
8,975
Habarini wakuu kuna jamaa yangu hapa anataka ku upgrade window 8.1 yake kwenda window 10 ila tatizo ni window 8.1 anayotumia haipo activated. Aki download window 10 inamwambia lazima aweze ku activate hii current window.maana hata hii window 8.1 nayo ali upgrade kutoka window 8 pro ambayo haikuwa officially

Hivyo tunatafuta window 8.1 Activator ili aweze ku upgrade kwenda window 10.

Cc chief Mkwawa na wengine..
 
Download #win8loader
 
Aisee nimejaribu ila zile activation keys zinagoma ku activate hii window...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…