Kajolijo JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 3,364 Reaction score 4,619 Jul 9, 2017 #1 Mwenye wimbo unaitwa "nimerudi salama" nadhani umeimbwa na moro jazz kama sikosei. Nauhitaji sana mwenye kua nao naomba tafadhali,.. Asante.
Mwenye wimbo unaitwa "nimerudi salama" nadhani umeimbwa na moro jazz kama sikosei. Nauhitaji sana mwenye kua nao naomba tafadhali,.. Asante.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,654 Jul 9, 2017 #2 Ngoja wahenga waje
Kajolijo JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 3,364 Reaction score 4,619 Jul 9, 2017 Thread starter #3 Jaman mmenigomea... kweli hamna mwenye nao? Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nakadi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,775 Reaction score 7,375 Jul 9, 2017 #4 Kajolijo said: Jaman mmenigomea... kweli hamna mwenye nao? Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app Click to expand... Me sina mkuu, ningeuapload hapa .. but vuta subira watakuja wenye nayo
Kajolijo said: Jaman mmenigomea... kweli hamna mwenye nao? Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app Click to expand... Me sina mkuu, ningeuapload hapa .. but vuta subira watakuja wenye nayo
paliemba JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 445 Reaction score 214 Jul 9, 2017 #5 Kajolijo said: Mwenye wimbo unaitwa "nimerudi salama" nadhani umeimbwa na moro jazz kama sikosei. Nauhitaji sana mwenye kua nao naomba tafadhali,.. Asante. Click to expand... Nenda play store mkuu kuna app inaitwa "mziki zamani" ina kind iconi cha ngoma hapo kuna miziki yoote ya zamani
Kajolijo said: Mwenye wimbo unaitwa "nimerudi salama" nadhani umeimbwa na moro jazz kama sikosei. Nauhitaji sana mwenye kua nao naomba tafadhali,.. Asante. Click to expand... Nenda play store mkuu kuna app inaitwa "mziki zamani" ina kind iconi cha ngoma hapo kuna miziki yoote ya zamani