nikiingia hakuna info yoyote yan cjui hata na fanyaje yan,hupat mwanga juu ya chochote kutoka hapo chuo tofaut na mfano cbe ukizamia unakuta dtails nyingi lakn hao utakuta logo lao tu ukijarib kuingia kwa facilities ndo unaambiwa kushnei ELIM YA BONGO KAMA NETWORK ZA SIM