Msaada wa wazo la biashara

Ahsante sana mkuu
 
Reginald L. Ishala UNAJUA SIKUELEWI ELEWI! Unaposema Kanda ya Ziwa una maanisha nini- mikoa ya Mwanza, Mara, Shinyanga, Geita, Simiyu na Kagera au Wilayani zake au Vijijini vyake au Visiwa vyake (nakumbuka ulisema visiwani hapo juu)?

Hata hivyo miradi yote unayosema ni pesa tu! ILA inahitaji wewe mwenye mtaji uwepo na usimamie kwa karibu sana vinginevyo ina kula kwako. Naomba ufafanuzi zaidi kwa maswali yangu kabla sijaingia kwa undani kwenye hizo hesabu za biashara tofauti tofauti. Asante.
 

Weka tu ideas zako kama unazo
Acha mambo meeeeengi yeye atajua yupo fungu gani
 
NAOMBA NISAIDIE MTU ANAYEUZA AKAUNTI YAKE UBER/BOLT
Naakaunti ya Uber nilifanya 2017 nikaja safiri. kwenda uganda sass tangu nirudi sijaifanya ingawa naonaga email za uber wakinipa updates.. ngoja niangalie kama iko active nikupe
 
Njoo ufungue Salon yakiume(Kinyozi) mtaan kwetu hapa Kuna location nzr kinoma alaf salon Hamna... tabata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…