Kulala utajifikria tuKajisajili bolt au uber uwe unapiga usiku pande za masaki na kinondoni af asubuh mpk jioni unapiga kazi dukani kwako
Uber ukiwa mmiliki italipa zaidi?Kajisajili bolt au uber uwe unapiga usiku pande za masaki na kinondoni af asubuh mpk jioni unapiga kazi dukani kwako
Sana!Uber ukiwa mmiliki italipa zaidi ?
Duuh ok..!Sana!
Huo si uhuni tu, kwa maboss wao na unakuta wengine wanabanwa sanaDuuh ok..!
Why madereva huwa wanalalamika na uswahili mwingi kwenye masuala ya hesabu ya week?
Nimekupata vyema mkuu.. !Huo si uhuni tu, kwa maboss wao na unakuta wengine wanabanwa sana
Nina rafiki yangu alipiga uber kwa boss mmoja ndani ya mwaka akamuachia yule jamaa gari yake, alikua ka make tsh 6,000,000 akatafuta ist kwa bei hiyo anapiga nayo kazi sasa.
Kuna Ideas nyingi na nzuri kwa mtaji mdogo ila faida kubwa,sasa unahitaji wazo linalo lenga biashara gani?Wakuu naomba kupata wazo la kufanya biashara zaidi ya moja wakati nikiwa kwenye kaduka kangu.
Nilianza udalali wa magari na viwanja ila nilkkosa network, pia ninayo v
Gari ndogo raumu ila nakuja nayo
Kwenye duka langu narudi, siyo mbali na nyumbani, sasa shida inakuja ni kuwa kipato Ninachokipata ni kidogo, niliwaza kusambaza mayai ila bado niliona gharama kusambaza kwa gari.
Mimi nipo dar wakuu, naombeni sana sana ndugu zangu nisaidieni wazo, nitashukuru sana kama mtanisaidia.
Hapo mkuu ni muhimu muhusika ajue ana taka afanye biashara gani kati ya hizo mbili maana tunapo semaMkuu naomba utupe idea zote mbili itapebdeza nawasilisha