akatanyukuile
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 314
- 310
Sijakuelewa,, utaratibu wao wa kulipa ni upi wanalipa kwa mkupuo au kidogokidogo
Hio 170 itakuwa ni1/3 ya mshahara wako ndo watakuwa wanakulipa kila mwezi kama fao la kutokuwa na ajira.Nyingine wanakuwekea.
Monthly payment inakokotolewaje boss nisaidie mm sina uelewa wowote juu ya NSSFWameanza kukulipa ile monthly payment halafu burungutu litafuata vuta subira
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio 170 itakuwa ni1/3 ya mshahara wako ndo watakuwa wanakulipa kila mwezi kama fao la kutokuwa na ajira.Nyingine wanakuwekea.
6months
Hakuna mafao yatakayolipwa hadi awamu ya 5 iondoke , tena bora wewe umeambulia laki na sabini , kuna wenzako hadi wamekata roho hawajaambulia chochoteHabari za jion hii wana jamvi,
Bila kupoteza mda mimi nilikua na kasalio kangu NSSF. hivo nimekahangaikia takriban mwaka sasa mwishon mwa mwaka jana yaan mwezi wa kumi na mbili nilienda tena kufuatilia ndipo wakaniandikia yakua tarehe 13 mwez wa pili wataniingizia pesa yangu. Kiasi chote nilichokua ninadai ni milion tano na point lakin lakushangaza leo nikaona pesa inaingia kias cha laki moja na sabini na uchafu.
Sasa ninataka kujua niutaratibu upi wanautumia kulipa mafao hayo? Maana nilidhani milion zote tano zitaingia kwa mkupuo. Tafadhali mwenye kujua ninaomba msaada. Ninadhan wafanyakaz na wajuz wa hayo Asante na mungu awabariki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za jion hii wana jamvi,

Naomba nikokotolee nimeweka M 29 Kwa miaka 25. Mshahara wa mwisho 980000 je nitapata bei gan ya lampsum?Wakuu nje ya mada: naomba kujua hapo chini maana ya hivyo vikokotoo kutoka PSSSF. Nitashukuru sana, JF kisima cha maarifa!
Formula:
Commuted Pension Gratuity (CPG) = APE x PS x PF x CF x 0.25
Monthly old-age-pension = APE x PS x PF x 0.75 x 1/12
Naomba nikokotolee nimeweka M 29 Kwa miaka 25. Mshahara wa mwisho 980000 je nitapata bei gan ya lampsum kwa NSSF?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi mwenyewe nimeweka hapo hii formula ili wajuzi watusaidie!Naomba nikokotolee nimeweka M 29 Kwa miaka 25. Mshahara wa mwisho 980000 je nitapata bei gan ya lampsum?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je ikifika miezi sita ukawa bado hujapata ajira je watakulipa zilizobaki zote kwa mkupuo au ndo wanaishia hapo? Tafadhsli mwenye kuelewa aelezee kwa undani zsid kwan inavoonekana kitu hii watu wengi hatuna uelewa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu sikuhizi ni sheria , mm nimepoteza ajira na nalipwa kila mwezi na NSSF ikifika tarehe 26 nalipwa.. sheria ipo wazi.. Kama ww ulipoteza ajira au mkataba uliisha kama ni Kibarua huna Professional unaluowa lumpusm yako fresh tu.. kama una Professional unalipwa 33.3% ya mshahara wako wa mwisho kila mwezi kwa miezi 6. Ukipata ajira in between unakatisha malipo unaendelea kuchangia.. mkwanja wote unaukuta at 55. Tusome sheria tuache kulalalama
Sent using Jamii Forums mobile app