habari za siku wana JF?
Nilijaribu kufunga ubuntu kwenye computer yangu ila nikaja kuitoa kwa sababu ina a bit of complications kwenye kuinstall progs(ina commands nyingi)
sasa nikaijaribu hii zorin os ambayo nayo ni jamii ya linux lakini ni rahisi kidogo kuitumia(baadhi ya watu wali-recommend humu ndani)
inapiga kazi fresh ila nilikuwa nataka niweke hizi vpn kama pd-proxy na 'Guru kwa ajili ya yale madude yetu ;-) nimejaribu kuinstall kwa playonlinux na wine zote zimekataa.
Je, kuna namna ya kuweza kuzifanya hizo vpn 2 kufanya kazi kwenye linux ama kuna alternative vpn nyingine ambayo inapiga kazi kama hizi mbili kwenye yale mambo ya "...internet"? -najua vpn zitakuwepo ila (labda) haziwezi kufungua ile milango ya 'uhuru', kwa hiyo nilikuwa naomba kama kuna mtu anayejua vpn zikakazofanya kazi kama hizi mbili?
**Nashukuru kwa kuweza kusoma haya maelezo marefu na naomba msaada wenu kwa yeyote anayejua solution, asanteni!