Msaada wa vitanda na magodoro 30 watolewa Muhimbili

Msaada wa vitanda na magodoro 30 watolewa Muhimbili

Sawa. Ila hawa wahindi usikute ndio anabisha hodi ikulu hivyo, apate nafasi ya kuwa karibu na rais. Wana mikakati sana ambayo huwa inatengenezwa jamatini.
 
Najua ukihoji 'juhudi' kama hizi utaonekana mbaya lakini ukweli ni kwamba mfumo uliopo ndio unawezesha mbunge asiye na msaada wowote kilipwa milioni 250 kama kiinua mgongo wa miaka mitano huku television na magazeti yote yakitanda picha za 'mtoa msaada' wa shilingi milioni tano!
Sasa hapo ni Muhimbili kwa vile rais alienda, na Nkasi je mbona hata syring na panadol hawana!? Ni vizuri kuuangali mfumo mzima badala ya kutarget pages za mbele za media.

Maajabu ya mitanzania, tupo kama mazuzu
 
Safi sana. Nadhani wale wagonjwa waliokuwa wanalala chini inabidi walazwe kwenye hivyo vitanda na wapige picha watuoneshe maana hawachelewi kuvihamishia kwenye hospitali zao binafisi
Kweli wanaweza wakapeleka kwenye dispensary binafsi
 
Back
Top Bottom