MsamiKowalski
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 285
- 56
Kampuni ya Golden Fleet LTD na Golden Coach LTD Wakabidi magodoro 30 na vitanda 30 Muhimbili Leo.
Mkurugenzi mtendaji wa kampunu hizo Bw.Mohammed Raza Dewj (kulia) akimkabidhi Afisa uuguzi wa idara ya uuguzi na Ubora wa Taifa muhimbili Bi.Mariana Makanda(kushoto).