Kurunzi
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 10,175
- 11,572
Wadau pc yangu ilivamiwa na virus ambaye aliathiri program hali iliyopelekea zikawa haziwezi kurun, nilipofanya scanning ilifanikiwa kunasa trojan wawili (2) .
Hata hivyo antvirus imeweza kuwafound lakini inashidwa kuwawaclean tafadhali naombeni msaada jinsi ya kuwatoa kabisa na Antvirus ninayoyotumia ni NOD32.
win32/spy.zbot.aau trojan na mwingine ambaye sijafanikiwa kumnote down.
Thanks