ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Oct 31, 2013 #1 Mwenye kujua hiyo kitu hapo juu,nataka kufanya hiyo kazi ya ku-flash simu,inataka mtaji sh ngapi na vifaa vya gani,nawasilisha
Mwenye kujua hiyo kitu hapo juu,nataka kufanya hiyo kazi ya ku-flash simu,inataka mtaji sh ngapi na vifaa vya gani,nawasilisha
G gsmsolution2009 Senior Member Joined May 7, 2013 Posts 120 Reaction score 7 Nov 1, 2013 #2 ngosha2011 said: Mwenye kujua hiyo kitu hapo juu,nataka kufanya hiyo kazi ya ku-flash simu,inataka mtaji sh ngapi na vifaa vya gani,nawasilisha Click to expand... nipigie nikupe muongozo
ngosha2011 said: Mwenye kujua hiyo kitu hapo juu,nataka kufanya hiyo kazi ya ku-flash simu,inataka mtaji sh ngapi na vifaa vya gani,nawasilisha Click to expand... nipigie nikupe muongozo
zubedayo_mchuzi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2011 Posts 4,873 Reaction score 1,221 Nov 1, 2013 #3 gsmsolution2009 said: nipigie nikupe muongozo Click to expand... Kwan navyo ni siri ? Weka hadharani watu wengine wafahamu.
gsmsolution2009 said: nipigie nikupe muongozo Click to expand... Kwan navyo ni siri ? Weka hadharani watu wengine wafahamu.
ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Nov 1, 2013 Thread starter #4 Niwapigie kwa namba ipi
G gsmsolution2009 Senior Member Joined May 7, 2013 Posts 120 Reaction score 7 Nov 1, 2013 #5 ndio ni siri ya kazi yetu huyo nimeona anajua kidogo ndio maana nikaona nimsaidie...ngosha nipigie kwenye num 0774 439364
ndio ni siri ya kazi yetu huyo nimeona anajua kidogo ndio maana nikaona nimsaidie...ngosha nipigie kwenye num 0774 439364