Samahanini jamani, nimekuwa nashindwa kuzichukua baadhi ya video kwenye istagram, kwahiyo naomba msaada wenu mnijuze downloader itakayoniwezesha kupakua video bila shida.

Huitaji kudownload hizo apps za playstore ili kudowload picture na video..hii ni instagram imekua moded na kuongezewa feature ya kuweza kudownload image na videos moja kwa moja bila apps zingine
Samahanini jamani, nimekuwa nashindwa kuzichukua baadhi ya video kwenye istagram, kwahiyo naomba msaada wenu mnijuze downloader itakayoniwezesha kupakua video bila shida.
usihangaike sana mkuu, ingia kwenye browser yako, search 'instagram plus'. download then instal kwenye cm yako, toa ile official insyagram.. hyo instagram plus ina option ya kudownload picha na video, haina haja ya kujaza maaplication mengi...