I Iddimarisa Member Joined Jul 12, 2013 Posts 29 Reaction score 4 Jul 14, 2013 #1 nina ndugu yangu anayeogopa sana madem hata kukaa na dem kumtongoza hawezi na yuko form 6..je nikimtongozea dem nitakuwa nimempa msaada ?
nina ndugu yangu anayeogopa sana madem hata kukaa na dem kumtongoza hawezi na yuko form 6..je nikimtongozea dem nitakuwa nimempa msaada ?
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Jul 14, 2013 #2 Mwambie asome
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,360 Jul 14, 2013 #3 Iddimarisa said: ..je nikimtongozea dem nitakuwa nimempa msaada ? Click to expand... Kabla, naomba nikuulize maswali haya: Je huyo ndugu yako alikuambia umtafutie m/ke? Halaf jee huyo ndugu yako hawezi hata kumalizia ingawa anashobokewa?
Iddimarisa said: ..je nikimtongozea dem nitakuwa nimempa msaada ? Click to expand... Kabla, naomba nikuulize maswali haya: Je huyo ndugu yako alikuambia umtafutie m/ke? Halaf jee huyo ndugu yako hawezi hata kumalizia ingawa anashobokewa?