ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 220
Naandika kwa masikitiko makubwa Sana, nlitokea kuwa na mahusiano na binti wa kiislam kwa muda wa miezi sita nikampenda Sana, mimi ni mkristo, yeye hakuwa na msimamo mkali sana kwenye dini kwaio alibatizwa na akabadiri dini na kuwa mkristo wakati huo yeye ni mtumishi na mpaka anafikia maamuzi ya kuniacha vyeti vyake vyote mpaka faili lake la utumishi vinasoma jina la kwanza la kiislamu, nimemuoa mwezi wa kumi na mbili mwaka jana,mara kwa mara tumekuwa na mikwaruzano ya kawaida ambayo yapo katika mahusiano na toka nimemuoa mpaka sasa kila tukihitilafiana anataka tuachane swala hili limejirudia kwa sasa ni mara ya tatu Mimi sikatai nina mapungufu lakini nae pia ana ya kwake, nilipomuoa vyeti vya ndoa vina jina la kikristo pamoja na cheti cha ubatizo, kwakuwa kwa sasa amekataa kabisa kuendelea kuishi tena na mimi na pia amekataa vikao vya usuluhishi imefika mahali nimehisi nikiendelea kukaza uzi maisha yetu ya baadae hayatakuwa na furaha na mbaya zaidi ni yeye amenikataa sio Mimi, nataka nimruhusu aende Kwa masikitiko makubwa kwakuwa ndoa yetu ina mwezi mmoja you Msaada wa kisheria ninaoomba je itakuwa na athari gani kisheria kwangu Kama nitaendelea na maisha Mengine kwa maana siko tyari kuoa tena kulingana na miiko ya dini yangu lakini nahitaji kutengeneza mali za kutosha na maisha ya baadae(future)
Muhimu tambua kuwa ndoa ni makubaliano ya watu wawili, kama ameona haufai muache afanye analotaka, siku yakimfika shingoni atakutafuta wakati huo wewe utakuwa hauna time nae...Naandika kwa masikitiko makubwa Sana, nlitokea kuwa na mahusiano na binti wa kiislam kwa muda wa miezi sita nikampenda Sana, mimi ni mkristo, yeye hakuwa na msimamo mkali sana kwenye dini kwaio alibatizwa na akabadiri dini na kuwa mkristo wakati huo yeye ni mtumishi na mpaka anafikia maamuzi ya kuniacha vyeti vyake vyote mpaka faili lake la utumishi vinasoma jina la kwanza la kiislamu, nimemuoa mwezi wa kumi na mbili mwaka jana,mara kwa mara tumekuwa na mikwaruzano ya kawaida ambayo yapo katika mahusiano na toka nimemuoa mpaka sasa kila tukihitilafiana anataka tuachane swala hili limejirudia kwa sasa ni mara ya tatu Mimi sikatai nina mapungufu lakini nae pia ana ya kwake, nilipomuoa vyeti vya ndoa vina jina la kikristo pamoja na cheti cha ubatizo, kwakuwa kwa sasa amekataa kabisa kuendelea kuishi tena na mimi na pia amekataa vikao vya usuluhishi imefika mahali nimehisi nikiendelea kukaza uzi maisha yetu ya baadae hayatakuwa na furaha na mbaya zaidi ni yeye amenikataa sio Mimi, nataka nimruhusu aende Kwa masikitiko makubwa kwakuwa ndoa yetu ina mwezi mmoja you Msaada wa kisheria ninaoomba je itakuwa na athari gani kisheria kwangu Kama nitaendelea na maisha Mengine kwa maana siko tyari kuoa tena kulingana na miiko ya dini yangu lakini nahitaji kutengeneza mali za kutosha na maisha ya baadae(future)
nashukuru ni ushauri pia,ila sijaelewa hapo unaposema kushtukia mchezo una maana ipi labdaBinafsi sina cha Kukushauri ila ninachoweza kukupa ni pole kubwa sana tu kwa Kutojitambua Kwako na Kuushtukia mchezo.
Nashukuru sana ila kwa swala la kisheria ndo linanipa kigugumiziMuhimu tambua kuwa ndoa ni makubaliano ya watu wawili, kama ameona haufai muache afanye analotaka, siku yakimfika shingoni atakutafuta wakati huo wewe utakuwa hauna time nae...
Achana nae
Ni kweli ila kupenda muda mwingine ni kubaya damage nilioingia ni kubwa sana hayo nimeelezea ni kwa uchache sanaAchana naye tulia utaoa tena au hatarudi mwenyewe..
Vijana mue mnafanya uchunguzi sana kabla ya kuamua binti wa kuishi naye..wengine wanakuja kukutia umaskini.
Nashindwa kuelewa maana ni mwezi mmoja tuKwanini ghaflaameichoka ndoa kwa kipindi kifupi hico? Kuna kitu kilikuwa kimetegwa na umekiingia kupitia ndoa kwa hiyo yeye ndiyo mshindi na kamwe wewe hutaweza kuoa tena ila yeye anawezza kulewa tena..Pole Mchezo wake umekamilika
Ila Umesema kuwa umeelezea kwa ufupi sasa katika hayo mengi uliyoyaacha ndipo mchezo mzima ulipokuwa unategwa... Kifupi Yeye ameshinda na sijaona sehemu wewe umesema kuwa mumebahatika kuzaa WatotoNashindwa kuelewa maana ni mwezi mmoja tu
Inaweza kuwa sahihi lakini ninachoshangaa mwenzangu kanikataa kwa muda mfupi Sana tuliokaa kwenye ndoaMkuu Ndoa yoyote ya Mmoja wa wanandoa kubadiri dini hajawahi kudumu..... Hilo ninalijua na nina mifano Mingi tu ya Namna hiyo.. Mara Kumi mkaoana kila mmoja akaendelea na imani yake ila ukishabadili dhehebu au dini ile Laana haitawaacha salama na ukifuatilia asilimia kubwa ya mporomoko wa ndoa nyingi upo kwenye huo tofauti ya Imani...
Asante nimeipenda hiyo quote ya mwishoHutaki kuoa tena. Alafu unataka kutengeneza Mali kwaajili ya Future .
Brother are you serious ??? Au unataka izo Mali zitafunwe na wadangaji ??.
Tatizo nitatizo ,ila kusema hutooa alafu ukaishia kuruka ruka nako nitatizo piaaaaa.
Pole lkn . ila siku ingine usikiuke maandiko ya biblia...inasema *Oaneni nyinyi kwa nyinyi* . kinyume nahapo nishida tu.
Huwezi ukapata jibu kiharaka ila kwa kuwa ameshatimiza lengo lake basi Muachilie tu bila masharti yoyote na usiandike kitu chochote wewe mwambie afanye kile nafsi yake inafaa yaani usiprocess chochote iwe divorce wala vikaoInaweza kuwa sahihi lakini ninachoshangaa mwenzangu kanikataa kwa muda mfupi Sana tuliokaa kwenye ndoa
Mtoto hatujapataIla Umesema kuwa umeelezea kwa ufupi sasa katika hayo mengi uliyoyaacha ndipo mchezo mzima ulipokuwa unategwa... Kifupi Yeye ameshinda na sijaona sehemu wewe umesema kuwa mumebahatika kuzaa Watoto
Unaweza kuta ana mimba ya Mwanaume mwingine ila wewe hujui Panua wigo wa Kuona Mkuu....Mtoto hatujapata
Nashukuru nimeuelewa, ila nashindwa baini alikuwa na lengo ganiJibu
Huwezi ukapata jibu kiharaka ila kwa kuwa ameshatimiza lengo lake basi Muachilie tu bila masharti yoyote na usiandike kitu chochote wewe mwambie afanye kile nafsi yake inafaa yaani usiprocess chochote iwe divorce wala vikao
Pamoja Mkuu !!!Asante nimeipenda hiyo quote ya mwisho