kwa nini alimkubalia ilhali anajua ni mume wa mtu,,, hatari nyingine mnazitaka wenyewe.....now keshamfaidi anaona sio kitu.....ajiandae kwa lolote.......kumuacha ni very simple tuuu....amwambia anataka ndoa.....awe serious.....lazima atachomoa
Tafadhali Mjumbe, usituambie kuwa huyo baba hajawahi kumsaliti rafiki yako. Jitu linaloweza kumsaliti mke wa ndoa halitaacha kukusaliti wewe kinyago mpita njia. Wote wawili mkitaka muachane kwa amani na huyo mzee, rudisheni nusu ya gharama zake maisha yaendelee.
Tatizo dogo,ongea na huyo mwanaume kwa utaratibu na umwambie kwa umri ulionao sasa unahitaji mume wa kufunga naye ndoa na hauko tayari kumuharibia ndoa yake;nadhani atakuelewa na maisha yataendelea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.