Msaada wa Ushauri: Ndugu Madaktari

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,337
5,573
Nimepimwa hepatitis B ni hivi :
HB2CAP96 160755iu/ml; je matokeo haya yanamaana gani kwa afya ya inni langu. Je nini nifanye..Nombeni ushauri wa dhat.
 
Mkuu,

Rudi tena hospitali, ulitakiwa kuyarudisha hayo majibu ya kipimo kwa daktari na si kurudi nayo nyumbani.
 
..majibu yanaonyesha detected titre (160755iu/ml) ya HepB virus....hii inaonyesha kiwango cha hepatitis B virus kilichoonekana kwenye damu iliyopimwa....kwa kifupi umeonekana kuwa na Hep B virus kwenye damu....hivyo rudi kwa dr aliyekuandikia kipimo....ili uanze management....
 
Nimepimwa hepatitis B ni hivi :
HB2CAP96 160755iu/ml; je matokeo haya yanamaana gani kwa afya ya inni langu. Je nini nifanye..Nombeni ushauri wa dhat.
Kwanza pole sana mkuu.
Pili, ugonjwa wa Hepatitis B ni kati ya magonjwa ambayo matibabu na ufuatiliaji wake yanahitaji utaalamu wa ubingwa wa ubobezi kabisa (super speciality); Na wataalamu ambao wanaweza kutoa ushauri sahihi na kukufuatilia vizuri wanaitwa Gastro-enterologists. At the very minimum, basi inatakiwa upate at least a physician mwenye uzoefu ambae ndie ataweza ku interpret majibu ya vipimo vya ugonjwa huo kwa usahihi, na kutoa ushauri na tiba sahihi kwako pamoja na ufuatiliaji wa mara kwa mara kupitia kliniki.
Kwa nini nasema hivyo??
1.Majibu ya kipimo kimoja tu hayatoshi kutoa tiba na ushauri sahihi na sanifu kwa ugonjwa huu!!
2.Tiba na ufuatiliaji wa ugonjwa huu iko complex sana!! Kwanza, sio wagonjwa wote wa ugonjwa huu watahitaji matibabu, pia kuamua nani aanze matibabu inategemea na majibu ya vipimo kadhaa kwamba yamekaaje.
3.Maamuzi ya kusimamisha/kuendelea na tiba ya ugonjwa huu (iwapo utaanzishiwa tiba) inategemea pia majibu ya vipimo vya ufuatiliaji utakavyokua unaendelea kufanyiwa huku ukiwa kwenye dawa.

USHAURI WANGU.
This is the one disease that siwezi kumshauri mtu achukue ushauri wa online kama hapa jukwaani JF,maana kama nilivyoeleza awali,kwanza ni madaktari wachache sana wenye utaalamu na experience hiyo (i am not one of them). Pia, kukupa ushauri online kunaweza kupelekea wewe kutoelewa vizuri au kupotoshwa.
Sijui hiki kipimo umepima wapi, na pia sijui majibu ya vipimo vingine ambavyo ulichukuliwa;Cha kufanya jitahidi sana uende Hospitali ya Muhimbili as soon as possible (usichukulie poa ukazidi kupoteza siku,the earlier, the better), nenda pale ulizia kliniki ya HEPATITIS B (HOMA YA INI), watakupa maelekezo na utaambiwa cha kufanya. Najua ukifika pale kama hicho kipimo hukufanyia hapo watapenda kujiridhisha na kukuchukua upya hicho kipimo, pamoja na vipimo vingine kadhaa (si chini ya vipimo vitano!!).
Kama una bima ya NHIF,utapata nafuu coz vipimo vyote vimekua covered na bima,kasoro hicho cha Viral Load,ujipange uandae kama laki 3 hivi maana hakiko covered na NHIF (very unfortunately).
Baada ya majibu ya vipimo ukavyochukuliwa (itachukua kama wiki 2 hivi kupata majibu yote), then sasa daktari wako atakwambia nini kinafuata, kama ni kuanza dawa, ujaji wa kliniki, etc; hapo sasa muulize maswali yako yooteee!! (Usiogope,hii ni haki yako 100%).
Pole kwa maelezo marefu.
Kimla
 
Mtaalamu yaani kweli nimeamini wewe lazima ni Dr. Nikweli nilipima muhimbili vipimo vitano ambapo vitatu vilikuwa covered na NHIF na vingine nikatakiwa kutoa laki tatu. Combination ya matokeo hayo ndo wakaniambia virusi ni vingi hivyo nianze matibabu yakutumia dawa zile za ukimwi. Swali je hta nikitumia hizo dawa ni vitu gani naweza kufanya labda kuhakikisha napunguza idadi ya virusi labda hadi kupona? Kunawatu wameshauri ninywe juice za tevo lita , je kunamtu kawahi kuzitumia na akapata mafaninikio hasa kwa ugonjwa huu? Naombeni ushauri jamani
Asante sana

Kwanza pole sana mkuu.
Pili, ugonjwa wa Hepatitis B ni kati ya magonjwa ambayo matibabu na ufuatiliaji wake yanahitaji utaalamu wa ubingwa wa ubobezi kabisa (super speciality); Na wataalamu ambao wanaweza kutoa ushauri sahihi na kukufuatilia vizuri wanaitwa Gastro-enterologists. At the very minimum, basi inatakiwa upate at least a physician mwenye uzoefu ambae ndie ataweza ku interpret majibu ya vipimo vya ugonjwa huo kwa usahihi, na kutoa ushauri na tiba sahihi kwako pamoja na ufuatiliaji wa mara kwa mara kupitia kliniki.
Kwa nini nasema hivyo??
1.Majibu ya kipimo kimoja tu hayatoshi kutoa tiba na ushauri sahihi na sanifu kwa ugonjwa huu!!
2.Tiba na ufuatiliaji wa ugonjwa huu iko complex sana!! Kwanza, sio wagonjwa wote wa ugonjwa huu watahitaji matibabu, pia kuamua nani aanze matibabu inategemea na majibu ya vipimo kadhaa kwamba yamekaaje.
3.Maamuzi ya kusimamisha/kuendelea na tiba ya ugonjwa huu (iwapo utaanzishiwa tiba) inategemea pia majibu ya vipimo vya ufuatiliaji utakavyokua unaendelea kufanyiwa huku ukiwa kwenye dawa.

USHAURI WANGU.
This is the one disease that siwezi kumshauri mtu achukue ushauri wa online kama hapa jukwaani JF,maana kama nilivyoeleza awali,kwanza ni madaktari wachache sana wenye utaalamu na experience hiyo (i am not one of them). Pia, kukupa ushauri online kunaweza kupelekea wewe kutoelewa vizuri au kupotoshwa.
Sijui hiki kipimo umepima wapi, na pia sijui majibu ya vipimo vingine ambavyo ulichukuliwa;Cha kufanya jitahidi sana uende Hospitali ya Muhimbili as soon as possible (usichukulie poa ukazidi kupoteza siku,the earlier, the better), nenda pale ulizia kliniki ya HEPATITIS B (HOMA YA INI), watakupa maelekezo na utaambiwa cha kufanya. Najua ukifika pale kama hicho kipimo hukufanyia hapo watapenda kujiridhisha na kukuchukua upya hicho kipimo, pamoja na vipimo vingine kadhaa (si chini ya vipimo vitano!!).
Kama una bima ya NHIF,utapata nafuu coz vipimo vyote vimekua covered na bima,kasoro hicho cha Viral Load,ujipange uandae kama laki 3 hivi maana hakiko covered na NHIF (very unfortunately).
Baada ya majibu ya vipimo ukavyochukuliwa (itachukua kama wiki 2 hivi kupata majibu yote), then sasa daktari wako atakwambia nini kinafuata, kama ni kuanza dawa, ujaji wa kliniki, etc; hapo sasa muulize maswali yako yooteee!! (Usiogope,hii ni haki yako 100%).
Pole kwa maelezo marefu.
Kimla
 
Mi nimenyonywa penis na mtu mwenye virusi nahisi nimeambukizwa sina raha wala amani kabisa
 
Umeambukizwa mini?si ukapime?Only the truth shall set you free!!!
 
Humshauri kupata ushauri jf alafu na wewe umetoa ushauri ndio nn sasa kua makini na maelezo yako maana unakinzana mwenyewe
Asante Kama umenielewa (ungesema rudi hospital kwa msistizo si ingesaidia?)
 
Mi nimenyonywa penis na mtu mwenye virusi nahisi nimeambukizwa sina raha wala amani kabisa
Umeambukizwa mini?si ukapime?Only the truth shall set you free!!!! Juzi tarehe 4 nimeenda kupima HIV, kuna kipindi nimecheza rough,tofauti na Mara zote nilizokuwa nikioima huwa napanic kidogo juzi nikawa nimerelax saaaaana mpaka nikaogopa nikajua Leo majibu yatakuwa + maana nimepoa kabisa!Thank Allah kwa muda nliocheza rough hadi Leo ningekuwa tayari yanasoma maana window period imepita!
 
Kwanza pole sana mkuu.
Pili, ugonjwa wa Hepatitis B ni kati ya magonjwa ambayo matibabu na ufuatiliaji wake yanahitaji utaalamu wa ubingwa wa ubobezi kabisa (super speciality); Na wataalamu ambao wanaweza kutoa ushauri sahihi na kukufuatilia vizuri wanaitwa Gastro-enterologists. At the very minimum, basi inatakiwa upate at least a physician mwenye uzoefu ambae ndie ataweza ku interpret majibu ya vipimo vya ugonjwa huo kwa usahihi, na kutoa ushauri na tiba sahihi kwako pamoja na ufuatiliaji wa mara kwa mara kupitia kliniki.
Kwa nini nasema hivyo??
1.Majibu ya kipimo kimoja tu hayatoshi kutoa tiba na ushauri sahihi na sanifu kwa ugonjwa huu!!
2.Tiba na ufuatiliaji wa ugonjwa huu iko complex sana!! Kwanza, sio wagonjwa wote wa ugonjwa huu watahitaji matibabu, pia kuamua nani aanze matibabu inategemea na majibu ya vipimo kadhaa kwamba yamekaaje.
3.Maamuzi ya kusimamisha/kuendelea na tiba ya ugonjwa huu (iwapo utaanzishiwa tiba) inategemea pia majibu ya vipimo vya ufuatiliaji utakavyokua unaendelea kufanyiwa huku ukiwa kwenye dawa.

USHAURI WANGU.
This is the one disease that siwezi kumshauri mtu achukue ushauri wa online kama hapa jukwaani JF,maana kama nilivyoeleza awali,kwanza ni madaktari wachache sana wenye utaalamu na experience hiyo (i am not one of them). Pia, kukupa ushauri online kunaweza kupelekea wewe kutoelewa vizuri au kupotoshwa.
Sijui hiki kipimo umepima wapi, na pia sijui majibu ya vipimo vingine ambavyo ulichukuliwa;Cha kufanya jitahidi sana uende Hospitali ya Muhimbili as soon as possible (usichukulie poa ukazidi kupoteza siku,the earlier, the better), nenda pale ulizia kliniki ya HEPATITIS B (HOMA YA INI), watakupa maelekezo na utaambiwa cha kufanya. Najua ukifika pale kama hicho kipimo hukufanyia hapo watapenda kujiridhisha na kukuchukua upya hicho kipimo, pamoja na vipimo vingine kadhaa (si chini ya vipimo vitano!!).
Kama una bima ya NHIF,utapata nafuu coz vipimo vyote vimekua covered na bima,kasoro hicho cha Viral Load,ujipange uandae kama laki 3 hivi maana hakiko covered na NHIF (very unfortunately).
Baada ya majibu ya vipimo ukavyochukuliwa (itachukua kama wiki 2 hivi kupata majibu yote), then sasa daktari wako atakwambia nini kinafuata, kama ni kuanza dawa, ujaji wa kliniki, etc; hapo sasa muulize maswali yako yooteee!! (Usiogope,hii ni haki yako 100%).
Pole kwa maelezo marefu.
Kimla
ahsanthe saaaaana una akir sana kwa point namb 1 , kwa mtu alopitia wizara ya afya nakuelewa kbs huwez kumpa mtu majibu kwa namna hiiii,, cheza nae psychological ila usimpe jibu, utaamaliza watu,, kuna mtu kasema apo juu
 
umetoa ushauri as if ni ndugu yako au mtoto wako,au mzazi wako,the way ulivyomtolea ufafanuzi angalau umemmpa matumaini au psychological treatment,na kama tungelikuwa na madaktari wengi wa namna hii kama wewe basi tungelikuwa mbali sana,mimi ni binadamu tu ila naomba mungu akusaidie uendelee kuwa na moyo huo huo.watu kama wewe ni muhimu sana ktk jukwaa hili,sio kama wale wanaoishia kutukana tu.naomba ushauri huo ulioutoa umfikie vyema huyo Mgonjwa na aufanyie kazi na mungu akipenda utakusaidia.Amen
 
Back
Top Bottom