Msaada wa ushauri kwa matokeo haya

Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
10,317
18,524
Wanabodi naomba mnishauri kuhusu matokeo ya mtoto wa dada yangu.
Amemaliza kidato cha nne mwaka jana.
Anaweza kusoma ufundi wa aina gani kutokana na matokeo haya maana nawaza nimpeleke VETA ila sijajua ataweza kusoma nini kitakachomfanya ajiajiri kirahisi

BIOS=C HST=D KISW=D GEO=D ENG=D CIV =D MATH'S=F
CHEM=F na PHYS=F
Ni division Four ya points 28.

Asanteni
 
Back
Top Bottom