Mmecheki kwanza battery kama ina voltage ya kutosha ? Kununua sensor iwe zoezi la mwisho, muanzie kwenye battery halafu wiring mpaka kufika kwenye hiyo camshaft sensor. Ila kuiacha benz kwa zaidi ya miezi sita bila kuipiga moto ni risk sana, ianonekana ya kwako umebahatika kupata tatizo dogo maana hata hiyo sensor ukisema uagize online haina bei ya kutisha.