J Jeorpa JF-Expert Member Jul 12, 2016 316 155 Mar 14, 2017 #1 Nnahitaji sana kwenda chuo kuliko Advance ila kujua ipi fan bora na yenye maslahi ndio nashindwa Msaada wa ushauri ndugu zng Matokeo ni Maths F Phys F Chem C Bios C Civ D Kisw C Engl C Geo C History C Jumla Div 3 ya 22
Nnahitaji sana kwenda chuo kuliko Advance ila kujua ipi fan bora na yenye maslahi ndio nashindwa Msaada wa ushauri ndugu zng Matokeo ni Maths F Phys F Chem C Bios C Civ D Kisw C Engl C Geo C History C Jumla Div 3 ya 22