Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
kuhusu tuition ni muhim kusoma mi nlisoma kwa muddy physics,chemistry na bios nliunga unga kwa masela pia nlisoma shule ya kawaida tu gvt,nlitoka fresh na moja ya nane mwaka 2010 ....stuition piga but kuhusu skuli komaa tu popote utatoka kama kimsuli uko poaWakuu habari zenu...
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne 2015 na katika matokeo yangu nimefaulu vizuri na nimebance comb zote za sayansi yaani pcb,pcm,pgm,cbg,egm
lakini lengo langu kubwa ni kusoma pcb na pia sina mpango wa kusoma shule private kutokana na hali maisha hivyo baada ya matokeo kuwa mazuri nimekuja kwenu kunipa ushauri mbinu za kuweza kufaulu vizuri kusoma pcb pia vitabu gani vinaweza nisaidia na kwa upande wa dar je kuna mwalimu yupi mzuri wa tuisheni kwa masomo haya....
Note
~naombeni msaada kwa hili najua kuna wadau mbalimbali wa elimu
Mleta mada anaomba msaada wako mkuu. Hakuomba haya uliyoandika. All is good though!Sinta wasahau hawa, moody physics, yani mpaka kesho naikumbuka sauti yake kichwani, Unga Chemistry- ingawa yy usanii mwingi, Mbuga- huyu ni kwa olevel, Mtata de Mtatuzi, ndiye aliyenipa A o'level
hivi kaulizaje tenaa?Mleta mada anaomba msaada wako mkuu. Hakuomba haya uliyoandika. All is good though!
Mdogo wangu usiweke mawazo sana ya kutoka kwa tuition but no muhimu kupiga tuition kwa dar physics yupo mgote mchikichini na mtiga mwenge chemistry yupo ngaiza mwenge na josephat mchikichini
hivi kaulizaje tenaa?
Vp kwa practicalSinta wasahau hawa, moody physics, yani mpaka kesho naikumbuka sauti yake kichwani, Unga Chemistry- ingawa yy usanii mwingi, Mbuga- huyu ni kwa olevel, Mtata de Mtatuzi, ndiye aliyenipa A o'level