Pamoja na kutumia hizo chandarua naona pia tungekomaa zaidi kwenye kuwaangamiza mbu na mazalio yake, hizi chandarua haziwezi kuwa ufumbuzi pekee wa tatizo la malaria.
Tunashukuru kwa misaada lakini nadhani dawa bado wanatuuzia kwa bei kubwa zaidi ya chandarua. Watanzania inabidi ifike mahala tuamue kutokomeza malaria kwa nguvu zetu zote.