nyakandula JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 1,249 Reaction score 1,737 May 28, 2019 #41 muxa said: hii ni shida mkuu Click to expand... Hivi hii kitu haijaendelea bdo?
C Carla JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 398 Reaction score 331 May 30, 2019 #42 kisukari said: Tafuta the Americans. Nzuri.ni season 1 mpaka 6. Ya kijasusi baina ya mtu na mkewe. Ni wa Russian ila walikuwa wanaishia America. Ni nzuri mno Click to expand... Vijana hawazijui movies za maana. Big up.
kisukari said: Tafuta the Americans. Nzuri.ni season 1 mpaka 6. Ya kijasusi baina ya mtu na mkewe. Ni wa Russian ila walikuwa wanaishia America. Ni nzuri mno Click to expand... Vijana hawazijui movies za maana. Big up.
M MSIZWE Member Joined Dec 1, 2016 Posts 18 Reaction score 23 May 30, 2019 #43 Carla said: Vijana hawazijui movies za maana. Big up. Click to expand... Philip Jennings, Elizabeth Jennings, Stan Beeman, Oleg Bolov, Nina, Claudia...... one of the best spy tv series .
Carla said: Vijana hawazijui movies za maana. Big up. Click to expand... Philip Jennings, Elizabeth Jennings, Stan Beeman, Oleg Bolov, Nina, Claudia...... one of the best spy tv series .
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,452 Reaction score 38,186 May 30, 2019 Thread starter #44 MSIZWE said: Philip Jennings, Elizabeth Jennings, Stan Beeman, Oleg Bolov, Nina, Claudia...... one of the best spy tv series . Click to expand... Kifo cha Nina kiliniuma sana..
MSIZWE said: Philip Jennings, Elizabeth Jennings, Stan Beeman, Oleg Bolov, Nina, Claudia...... one of the best spy tv series . Click to expand... Kifo cha Nina kiliniuma sana..
M MSIZWE Member Joined Dec 1, 2016 Posts 18 Reaction score 23 May 30, 2019 #45 gwankaja said: Kifo cha Nina kiliniuma sana.. Click to expand... kile kifo cha Nina kimewaffect sana Oleg na Stan, ile series imeonyesha nguvu ya mapenzi kwenye ujasusi mfano case studies za Nina na Stan, Nina na Oleg, Philip na Martha, Elizabeth na Daniel....
gwankaja said: Kifo cha Nina kiliniuma sana.. Click to expand... kile kifo cha Nina kimewaffect sana Oleg na Stan, ile series imeonyesha nguvu ya mapenzi kwenye ujasusi mfano case studies za Nina na Stan, Nina na Oleg, Philip na Martha, Elizabeth na Daniel....
C Carla JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 398 Reaction score 331 May 30, 2019 #46 MSIZWE said: Philip Jennings, Elizabeth Jennings, Stan Beeman, Oleg Bolov, Nina, Claudia...... one of the best spy tv series . Click to expand... Beema mzee wa misimamo, ila kwa Nina alikamatika. Pia naona kama Elizabeth alikuwa na misimamo na maamuzi magumu kuliko Philip.
MSIZWE said: Philip Jennings, Elizabeth Jennings, Stan Beeman, Oleg Bolov, Nina, Claudia...... one of the best spy tv series . Click to expand... Beema mzee wa misimamo, ila kwa Nina alikamatika. Pia naona kama Elizabeth alikuwa na misimamo na maamuzi magumu kuliko Philip.
M MSIZWE Member Joined Dec 1, 2016 Posts 18 Reaction score 23 May 30, 2019 #47 Carla said: Beema mzee wa misimamo, ila kwa Nina alikamatika. Pia naona kama Elizabeth alikuwa na misimamo na maamuzi magumu kuliko Philip. Click to expand... Philip background yake ilikuwa inamtesa sana plus zile semina alizokuwa anaenda zilimfanya akose msimamo kabisa...
Carla said: Beema mzee wa misimamo, ila kwa Nina alikamatika. Pia naona kama Elizabeth alikuwa na misimamo na maamuzi magumu kuliko Philip. Click to expand... Philip background yake ilikuwa inamtesa sana plus zile semina alizokuwa anaenda zilimfanya akose msimamo kabisa...