Jamani naombeni msaada wa tuition ya secondary EGM ...nasikia inapatikana mapambano Mwenge, Je ikoje na gharama zake hata angalau kwa estimate maana mimi secondary nimetoka miaka 23 iliyopita.
Jamani naombeni msaada wa tuition ya secondary EGM ...nasikia inapatikana mapambano Mwenge, Je ikoje na gharama zake hata angalau kwa estimate maana mimi secondary nimetoka miaka 23 iliyopita.
wewe nenda pale mapambano tuition ipo sana lakini mimi niliwahi kuwauliza gharama kwa hesabu inaanzia 10K nakuendelea kwa topic lakini hayo masomo mengine sijajua!
home tuition ijaribu ni nzuri sana ..achana na kwenda kusoma kwenye nyomi ya watu .understanding ni narrow ...ni PM nikupe info kama ukihitaji home tuition ..if not ..be quite