Msaada wa touch asus zenfone2

Msaada wa touch asus zenfone2

kijumbamshale

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
267
Reaction score
88
Simu tajwa hapo juu imevunjika kioo yeyote anayeweza kusaidia upatikanaji na fixing tuwasiliane PM
 
Agiza kupitia aliexpress.com toka China. Wanatuma kwa Posta bure japo inachukua muda kidogo.
 
Hizi mambo za wizi wa simu acha tu, walinichukulia ka xiaomi mi4i mpaka leo kananiuma aisee
 
Back
Top Bottom