yilima jerad
Member
- Jan 16, 2016
- 59
- 25
Ndugu zangu natumaini mpo salama nyote.
Naandika Uzi huu kuomba nsaada!
Nina babu yangu ana umri wa miaka 79 ana tatizo la miguu linalomsumbua. Miguu inavimba juu ya unyayo na kuwa mieusi na baada ya. Mda inakua kama inababuka ngozi inakua kama inatoka na kuja ngozi nyingine , na ni chini ya magoti tu,
Naombeni waatalam mnisaidie!