Pole sana, je, hizo hosipitali ulikutana na madakitari wa ngozi? Na ni hosipitali zipi ili tusije kurudia kukuelekeza.wana jf habari za jumapili. naombeni msaada wenu nina changamoto ya hili tatizo kwenye picha yapata sasa kama miezi 6 yamenipata haya nimetumia kilA aina ya dawa hosp nimejaribu kubadisha hospi tofauti tofauti lkn sipati nafuu. najikuna sana viwiko na shingoni mapaka ngozi inatoka naombeni msaada wenu waheshimiwa MUNGU awabariki sana
wana jf habari za jumapili. naombeni msaada wenu nina changamoto ya hili tatizo kwenye picha yapata sasa kama miezi 6 yamenipata haya nimetumia kilA aina ya dawa hosp nimejaribu kubadisha hospi tofauti tofauti lkn sipati nafuu. najikuna sana viwiko na shingoni mapaka ngozi inatoka naombeni msaada wenu waheshimiwa MUNGU awabariki sana
Pole sana mkuu! Kwanza unatumia sabuni gani kuogea? Pili unapaka mafuta gani?WanaJF habari za Jumapili.
Naombeni msaada wenu nina changamoto ya hili tatizo kwenye picha yapata sasa kama miezi 6 yamenipata haya
Nimetumia kila aina ya dawa hospitali nimejaribu kubadilisha hospitali tofauti tofauti lkn sipati nafuu.
Najikuna sana viwiko na shingoni mpaka ngozi inatoka
Naombeni msaada wenu waheshimiwa
MUNGU awabariki sana
View attachment 2293908View attachment 2293909
Kwa nyongeza, unapokwenda kutibiwahakikisha na mwenzi wako naye anapimwa na kupata tiba, chanzo cha ugonjwa huu ni kujamiiana, pima damu na mkojo, pia ogea sabuni za dawa mfano dettol.WanaJF habari za Jumapili.
Naombeni msaada wenu nina changamoto ya hili tatizo kwenye picha yapata sasa kama miezi 6 yamenipata haya
Nimetumia kila aina ya dawa hospitali nimejaribu kubadilisha hospitali tofauti tofauti lkn sipati nafuu.
Najikuna sana viwiko na shingoni mpaka ngozi inatoka
Naombeni msaada wenu waheshimiwa
MUNGU awabariki sana
View attachment 2293908View attachment 2293909
asante sanaAsee pole sana jaribu kutafuta ngetwa eleven ujaribu kunywa
bochi.labnisia.parestina n a moyo safiPole sana, je, hizo hosipitali ulikutana na madakitari wa ngozi? Na ni hosipitali zipi ili tusije kurudia kukuelekeza.
Huyo wa Ngetwa ni msumbufu tu wala usihangaike hakuna kitu hiyo.
Swali ulikutana na madakitari wa ngozi?bochi.labnisia.parestina n a moyo safi
asante sanaNadhan inaeza ikawa pumu ya ngozi.
Usitumie medicated soap.
Vaa nguo za cotton.
Epuka vitu vyenye harufu kali.
Unaeza kununua Vaseline isiyo na harufu upake ngozi iskae kavu.jioni meza cetrizene au loratadine moja
Onana na dermatologist kuna dawa utapewa ya kupaka.
Nipigie 0789443404 tuongee zaidi utapona so wewe tu humu jf wapo na tumesaidianaWanaJF habari za Jumapili.
Naombeni msaada wenu nina changamoto ya hili tatizo kwenye picha yapata sasa kama miezi 6 yamenipata haya
Nimetumia kila aina ya dawa hospitali nimejaribu kubadilisha hospitali tofauti tofauti lkn sipati nafuu.
Najikuna sana viwiko na shingoni mpaka ngozi inatoka
Naombeni msaada wenu waheshimiwa
MUNGU awabariki sana
View attachment 2293908View attachment 2293909
Pole Kuna member pia alikuwa Kama wewe nitakuunganisha nae pia ameshapata nafuu sanaWanaJF habari za Jumapili.
Naombeni msaada wenu nina changamoto ya hili tatizo kwenye picha yapata sasa kama miezi 6 yamenipata haya
Nimetumia kila aina ya dawa hospitali nimejaribu kubadilisha hospitali tofauti tofauti lkn sipati nafuu.
Najikuna sana viwiko na shingoni mpaka ngozi inatoka
Naombeni msaada wenu waheshimiwa
MUNGU awabariki sana
View attachment 2293908View attachment 2293909
πππ fala sanaOga tu weka mwili wako Safi, nguo Safi, kula vizuri, frahia maisha acha majungu na tamaa ridhika unachokipata. Maintain usafi wa mwili Oga kwa maji na sabuni ya kuogea kwa siku mara tatu, kunywa maji mengi zaidi ya Lita tatu per day, matunda mengi ikiwemo tikitimaji vaa nguo nzuri Safi viatu, ung'ae. Huo ulionao sio ugonjwa ni umasikini we tafuta pesa tu ya natoka automatically
nitashukuru mkuuPole Kuna member pia alikuwa Kama wewe nitakuunganisha nae pia ameshapata nafuu sana