profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,596
- 3,439
Mkuu umeweka picha hujasema sehemu gani mwilini mwako ipo namna hivyo?Fanya hivi chemsha maji ya chumvi ya mawe yawe maji ya moto kisha osha kwa hayo maji ya moto.nilikuwa nimetokwa na kama mapunye hivi mwili mzima,baadae viligeuka vipele vyenye unyevu vinavyotoa maji,nikaenda hosp,nikapimwa magonjwa ya zina nikakutwa safi,nikapewa amoxilin,dawa ya allergy na tube ya kupaka.
Baada muda vilikauka, lakini sasa nawashwa sana,na nikijikuna naona kama panaacha alama panakuwa,peusi,nimetumia sabuni ya tetemosol na kupaka tube mbalimbali lakini wapi,cheki picha kwa ufafanuzi zaidi.View attachment 1519746
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu..Mkuu umeweka picha hujasema sehemu gani mwilini mwako ipo namna hivyo?Fanya hivi chemsha maji ya chumvi ya mawe yawe maji ya moto kisha osha kwa hayo maji ya moto . Kisha chukuwa kipande cha limao jipakze hiyo sehemu kisha acha kama dakika 30...
Hilo ni paja au?nilikuwa nimetokwa na kama mapunye hivi mwili mzima,baadae viligeuka vipele vyenye unyevu vinavyotoa maji,nikaenda hosp,nikapimwa magonjwa ya zina nikakutwa safi,nikapewa amoxilin,dawa ya allergy na tube ya kupaka.
Baada muda vilikauka, lakini sasa nawashwa sana,na nikijikuna naona kama panaacha alama panakuwa,peusi,nimetumia sabuni ya tetemosol na kupaka tube mbalimbali lakini wapi,cheki picha kwa ufafanuzi zaidi.
View attachment 1519746
Pole sana kwa ugonjwa hiyo ni fungal infection imekomaa ambayo ipo skinderm, systemic
1.Ushauri vaa tait akiwa unatembea kupunguza msuguano kati ya paja na paja.... Asivae tait au chup mbichi.../QUOTE]nilienda hosp,nikapewa amox na dawa za allergy,na tube,hapo unavyoona imekauka,mwanzoni ilikuwa inatoa kama majimaji hivi...
sasa mkuu si utoe msaada,sehemu ya mwili ya nini sasa...Sehemu gani ya mwili hiyo?
nilienda hosp,nikapewa amox na dawa za allergy,na tube,hapo unavyoona imekauka,mwanzoni ilikuwa inatoa kama majimaji hivi...
Mkuu kabla hatujaribu kukupa jibu hiki kiungo pichani ni tako au?nilikuwa nimetokwa na kama mapunye hivi mwili mzima,baadae viligeuka vipele vyenye unyevu vinavyotoa maji,nikaenda hosp,nikapimwa magonjwa ya zina nikakutwa safi,nikapewa amoxilin,dawa ya allergy na tube ya kupaka.
Baada muda vilikauka, lakini sasa nawashwa sana,na nikijikuna naona kama panaacha alama panakuwa,peusi,nimetumia sabuni ya tetemosol na kupaka tube mbalimbali lakini wapi,cheki picha kwa ufafanuzi zaidi.
View attachment 1519746
Asante mkuu, ntakupa feedback nikishatumia...Alikupaje antibiotic apo amoxicillin , ila ukimaliza dose ukikuta hamna mabadiliko unaweza tumia dawa nilizo kuandikia apo juu, tumia za kumeza pamoja na kupaka izo ukienda hospital Huwezi kupewa pamoja tunaita irrational, unanunua tu famasi
Pole sana utapona wapo wengi wanaugua kama ww na kupona
Sasa relis, kiungo cha nini mkuu? si utoe msaada tu kutokana na ugonjwa!Mkuu kabla hatujaribu kukupa jibu hiki kiungo pichani ni tako au?
Naomba picha ya terbinafine cream tube.Pole sana kwa ugonjwa hiyo ni fungal infection imekomaa ambayo ipo skinderm, systemic
1.Ushauri vaa tait akiwa unatembea kupunguza msuguano kati ya paja na paja.... Asivae tait au chup mbichi..
Hii apanaomba picha ya terbinafine cream tube..
Shukrani doctor
sio ukurutu...Ukurutu uo mzee ni ugonjwa wa ngozi nliwai paka lindolin scaboma na vidonge vya mwezi mzima nlipewa