Poluyakhtov JF-Expert Member Joined May 9, 2017 Posts 365 Reaction score 307 Jul 19, 2020 #1 Habari za asubuhi wana JF, Naomba kuelekezwa home remedy kwa ajili ya tatizo la kuhisi kama kuna mchanga kwenye macho, macho kuuma na kupoteza uwezo wa kuona vizuri mazingira yenye mwanga na kutoa machozi. Natanguliza shukrani.
Habari za asubuhi wana JF, Naomba kuelekezwa home remedy kwa ajili ya tatizo la kuhisi kama kuna mchanga kwenye macho, macho kuuma na kupoteza uwezo wa kuona vizuri mazingira yenye mwanga na kutoa machozi. Natanguliza shukrani.