Msaada wa tiba nikisex na mr natokwa na vitu kama maziwa mgando

Hiyo fungus mumy, iwahi kabla haijaanza kukutafuna, Lakini pia ukishauriwa tiba Basi na Mr wako afanye wepesi wa tiba ya Mfumo wa uzazi ili msizungushiane Tena.

Ugua pole

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hapana sio harufu kali ipo kidgo tu sema me huwa sitoi harufu kbsa huku chini ila sahvi ndo naiskia japo sio kali sana
Kama ww mwenyewe unaisikia Basi itakuwa Kali Sana kwa mwenzao wako...kimbia uende ukamuone daktari wa magonjwa ya wanawake! Preferably wa kike! Kama hakuna Basi atakayekuwepo! Ki la lililo kheri!

Inaweza Kuwa 'yeast infection'!
 
Sawa ntafanya hivyo
 
Gynazole ya cream nzuri zaidi. Hio katika wanawake 100 basi 90 imewatokea sio jambo geni kabisa wakati mwingine hata bila kushiriki Sex kama watu wanavyodhani.

Ni infection tu kwenye uke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom