Msaada wa Tiba na Ushauri:

Mkuu hii issue ni serious inanisumbua na sina uhuru hata wa kumwambia mke wangu. Nabaki naumia tu,ntaanzaje kumwambia!!? Nipe ushauri mkuu...
Nimempenda mkeo kutoka ndani ya moyo wangu, wallah tena.... 😀
 
Unamwita unamwambia yote uliyotililika hapa jamvini
Hapo ntakuwa natatua tatizo au nazalisha tatizo jipya. Yaani unataka nimwambie kuwa nachepuka halafu anipe ushirikiano!??
 
Mkeo anajua tabia yako. Ndo maana kaona akudhibiti mapema kabla hujamletea maradhi. Au mkeo anakupenda na ana wivu kwako pia.
Tulia Njia kuu kaka.
Ila mkeo pia hajakutendea fair
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee

Ushalogwa
 
Duuuh walah hajakuonea kama ndio kwa umalaya huo hustahili kufunguliwa
Ivi ukimletea ukimwi nyumbani utamlaum nan? mbona wanaume hamplay fair aaarghh adi kichefchef
 
Duuuh walah hajakuonea kama ndio kwa umalaya huo hustahili kufunguliwa
Ivi ukimletea ukimwi nyumbani utamlaum nan? mbona wanaume hamplay fair aaarghh adi kichefchef
Mbona unanihukumu mkuu!? Me siyo malaya,nilivyoshindwa kwa yule wa kwanza nilihisi labda ni yeye tu. Ndo maana nikaamua kujaribu na hao wengine. Lkn haina maana kwamba km ningefanikiwa yule wa kwanza ningekuwa na hao wengine,la hasha..!! Na kwa sasa jambo hili linanitesa mno rafiki...
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yaan wewe ni kiboko, unajua kujitetea in polite language mpaka raha hata kama ni mkeo akikuskiliza lazima akubali ujinga wako. Nimekupenda bure kwa huu uongo wako ni professional [emoji119][emoji119]

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
 
Mwombe mke wako ushauri mkuu

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu ni kweli kwa mazingira yaliyopo inaweza kuwa ngumu kwako kuamini. Sina tatizo na maoni yako kwa sababu bado ukweli halisi unabaki kwangu..!!



Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu ni kweli kwa mazingira yaliyopo inaweza kuwa ngumu kwako kuamini. Sina tatizo na maoni yako kwa sababu bado ukweli halisi unabaki kwangu..!!



Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa ila hainizuii mimi kukupa pole, pole sana best maana najaribu kufikiria ni jinsi gani unavyodhalilika anyway pole sana ndio maisha ila wife ni kiboko sana kajua kukutesa maana hujazaliwa na mamaako kwa ajili yake tuu wife hapo kakosea sana hata kama ni wivu huo hapana

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…