Msaada wa Tiba na Ushauri:

magode

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2014
Posts
2,204
Reaction score
3,340
Wanajamvi
Salaam;

Naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja.
Kwa kipindi cha zaidi ya mwaka sasa nimekumbwa na tatizo ambalo ni la kushangaza. Nna tatizo la uume kushindwa kusimama kwa mwanamke mwingine nje ya mke wangu.

Yaani kila nikijaribu kuchepuka sifanikiwi kabisaa! Nimeshajaribu kwa wanawake zaidi ya 4 lkn wote nimeshindwa nimejikuta nawatia genye tu na mwisho siwafanyii lolote. Kwa sasa mpaka naona aibu kutongoza,na cha kushangaza kwa mke wangu hakuna kabisa hilo tatizo.

Kuna mdada nimejaribu nae mara nyingi lkn zote nimegonga mwamba. Mwanzo wakati naanza kupata hili tatizo nilidhani ni woga,lkn kwa sasa sidhani km ni uoga. Kwa sababu nimejaribu mpaka kwa mke wangu wa zamani nae nimeshindwa.

Najua wengi mtasema nibaki njia kuu,lkn vp km nikitengana nae kwa sababu yoyote ile ndo itakuwa mwisho wangu wa kupiga papuchi!?

Naomba mnisaidie wadau hili ni tatizo gani? Na je linatibika!??
Wanawake karibu wote niliokutana nao na kushindwa kuwatimizia haja zao,nilivyokuwa nawaambia nyumbani nafanya km kawaida,walidai mke wangu atakuwa amenifungia..! Hivi inawezekana kweli??

Nawasilisha!
 
Safi sana Una Wake wangapi maake umesema hata kw Mke wako wa Zamani? Au mimi ndiyo sijaelewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] magojwa mengine bana...!!
 
Safi sana Una Wake wangapi maake umesema hata kw Mke wako wa Zamani? Au mimi ndiyo sijaelewa
Mkuu nna mke mmoja,ndo maana huyo mwingine nikasema ni wa zamani. Nilitengana nae tangu mwaka 2008. Na 2010 nikaoa huyu wa niliyenaye.
 
Kama ikitokea tukatengana unadhani ntafanya nn? Inaweza kutoa hata akatangulia mbele ya haki..me ntaishije??
Mkiachana utarudiwa na hali yako ya kawaida utagonga utakavyo [emoji26]
 
Naomba namba ya mkeo nimsalimie.....
Mkuu hii issue ni serious inanisumbua na sina uhuru hata wa kumwambia mke wangu. Nabaki naumia tu,ntaanzaje kumwambia!!? Nipe ushauri mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…