M manji h Member Joined Jul 15, 2016 Posts 58 Reaction score 213 Jun 28, 2023 #1 Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, Naomba kwa mwenye Soft copy ya Iyo Guide book wakuu. Nimeingia Kwenye Page Ya TCU nimeona Tangazo kua ilikwisha tolewa from June 9, ila Nimeshindwa kupata sehem ya Kuidownload
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, Naomba kwa mwenye Soft copy ya Iyo Guide book wakuu. Nimeingia Kwenye Page Ya TCU nimeona Tangazo kua ilikwisha tolewa from June 9, ila Nimeshindwa kupata sehem ya Kuidownload
Mpwayungu Village JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 14,575 Reaction score 31,013 Jun 29, 2023 #2 Nitafute
Ndama Jeuri JF-Expert Member Joined Jul 9, 2015 Posts 1,540 Reaction score 1,546 Jun 29, 2023 #3 manji h said: Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, Naomba kwa mwenye Soft copy ya Iyo Guide book wakuu. Nimeingia Kwenye Page Ya TCU nimeona Tangazo kua ilikwisha tolewa from June 9, ila Nimeshindwa kupata sehem ya Kuidownload Click to expand... TCU guide book hutolewa baada ya matokeo ya kidato cha sita,hiyo iliyotolewa june 9 ilikuwa ya 2022/2023,hii itakayo toka mwezi wa saba mwanzoni itakuwa ya 2023/2024 ndo itakuhusu,so kuwa mpole kidogo.soon wataiweka
manji h said: Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, Naomba kwa mwenye Soft copy ya Iyo Guide book wakuu. Nimeingia Kwenye Page Ya TCU nimeona Tangazo kua ilikwisha tolewa from June 9, ila Nimeshindwa kupata sehem ya Kuidownload Click to expand... TCU guide book hutolewa baada ya matokeo ya kidato cha sita,hiyo iliyotolewa june 9 ilikuwa ya 2022/2023,hii itakayo toka mwezi wa saba mwanzoni itakuwa ya 2023/2024 ndo itakuhusu,so kuwa mpole kidogo.soon wataiweka
Kaka Kapo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2012 Posts 547 Reaction score 347 Jun 30, 2023 #4 manji h said: Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, Naomba kwa mwenye Soft copy ya Iyo Guide book wakuu. Nimeingia Kwenye Page Ya TCU nimeona Tangazo kua ilikwisha tolewa from June 9, ila Nimeshindwa kupata sehem ya Kuidownload Click to expand... Haijatoka...
manji h said: Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, Naomba kwa mwenye Soft copy ya Iyo Guide book wakuu. Nimeingia Kwenye Page Ya TCU nimeona Tangazo kua ilikwisha tolewa from June 9, ila Nimeshindwa kupata sehem ya Kuidownload Click to expand... Haijatoka...
F Future eyes Senior Member Joined May 30, 2022 Posts 128 Reaction score 71 Jul 13, 2023 #5 Ingia website yao wameshaitoa siku nyingi Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app