umeweka IOS 7.0 au latest 7.1.1? nenda kwenye Setting - General - Reset - 'Reset Network Settings' ita reset Router ya simu. Tatizo likijirudia itabidi uRestore IOS 7.1.1 tena..NINA IPHONE 4S NIMEITUMIA VIZURI IKIWA NA iOS 6 LAKINI BAADA YA KU UPDATE iOS7 TATIZO LA WIFI NA BLUETOOTH KUTOKUFANYA KAZI LIKATOKEA,NIMEJARIBU KU RESET NET SETTING LAKINI HAIKUSAIDIA,
NAOMBA USHAURI ZAIDI
restore hiyo hiyo ios 7.1.1..Now ipo 7.1.1 nshafanya hiyo reset net setting,bila mafanikio na hiyo option ya kurestore itanirudisha kwenye iOs 6?na je haiwezi kuwa ni hardware prob?
lazima utakuwa unatumia mtandao wa Tigo, badilisha weka line ya Airtel au Voda hotspot itarudi,,Mie ttz kidogo linafanana! Nina iOS 7.1.1 na hotspot imepotea, haionekani! Msaada...
lazima utakuwa unatumia mtandao wa Tigo, badilisha weka line ya Airtel au Voda hotspot itarudi,,