Msaada wa tatizo hili

Tatizo linakuja ikiwa hivyo Huwezi kufanya chochote. Wala haitaki kurudi .katika Hali yake ya kawaida. Mpaka niizime
Ukiwa umezima data tatizo hilo linatokea?
 
Maana yake chagua app kati ya hizo ambazo hazitumiki mara kwa mara ili zisifanye kazi/task background
 
Maana yake chagua app kati ya hizo ambazo hazitumiki mara kwa mara ili zisifanye kazi/task background
Hata ukichagua hakuna chochote kinachotokea. Na hata ukirudisha cm kawaida haitaki
 
kafrash cm wewe tena wahi fasta na wakusetie upyaaaaa kila kitu.
 
Samahani Mkuu nauliza swali njee ya mada kidogo Kati ya Samsung Note 5 & Note 4 ipi kali kwako? na kwanini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…