Wataalam heshima mbele.
Tangu wiki iliyopita nikiwasha laptop yangu, wakati wa ku upload inatokea blue screen of death na maandishi yafuatayo:
"The application has failed to start because winsrv was not found. Re-installing the application may fix problem".
Sijui nianzie wapi na niishie wapi, hadi nadhani laptop ishakufa.
Naomba mawazo yenu najua wapo waliopitia tatizo kama hili.
Thanks in advance.