msaada wa tally accounting ERP 9

msaada wa tally accounting ERP 9

mwakigali

Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
87
Reaction score
43
wadau salamu kwenu,
Samahani ninaomba msaada wa tally accounting software ERP 9 au hata below hiyo. AU kama kuna mwenye kujua link ambayo nitaipakua.
Natanguliza shukurani zangu kwenu.
 
Google tally erp 9 then bonyeza link ya official site yao
 
Naomba mwenye notes za tally erp 9 anitumie wadau. Kuna jamaa wa power computers sema alinibania kisa natumia cracked software
 
Naomba mwenye notes za tally erp 9 anitumie wadau. Kuna jamaa wa power computers sema alinibania kisa natumia cracked software

Jamaa gani huyo kwasababu mm mwenyewe nafanya kaz Power Computers so ukitaka notes ninanzo.
 
Jamaa gani huyo kwasababu mm mwenyewe nafanya kaz Power Computers so ukitaka notes ninanzo.

Muhindi mmoja hivi anatumia namba ya voda. Niliona fb nambake nikamtext ila kakataa katu kutoa notes nilikua nataka softcopy anataka hadi ninunue software. More than 4.5m tally ambayo sio cracked multiuser
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom