Msaada wa tafsiri ya ndoto

Msaada wa tafsiri ya ndoto

kinamba

Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
70
Reaction score
61
Naomba mwenye kutafsiri hii kitu imenikuta leo.... ni maelezo marefu kidogo lakini nimejaribu kuelezea in details zote..

Kuna kitu kimenitokea usiku wa leo inaweza kuwa ndoto lakini i feel it was more real..
Nilianza kuota kama nipo kwenye bas then nikamuona mtu ambae nilisoma nae sekondari huko (namkumbuka jina mpaka sura)..

so nikawa kama excited kumuona kisha ikawa kama nimeshuka kutoka kwenye basi tumekutana chini so tukawa kama tunataka kukumbatiana hivi alikuwa yuko na watoto kama watatu (dizaini kama anajuana nao na sio watoto wadogo kabisa miaka yao ni kama wale walio primary darasa la 5 au 6 hivi).

tukawa karibu tukawa tukakumbatiana ghafla akanibusu.... alivyonibusu tu nikawa kama nimeparalyze hivi (hii nilikuwa najiskia kama ni uhalisia sio ndoto) nikapata fahamu lakini nikawa siwezi hata kusogeza kiungo chochote (hii huwa inanitokea mara nyingi. Ikinitokea huwa nahisi kabisa siwezi kumove hata kuongea nashindwa so huwa nakemea kimoyomoyo mpaka inaachia).

Hapo hapo nikawa nahisi kama mguu wangu mmoja umenyanyuka hivi.... Ghafla nikawa najihisi kama nainuka kitandani, nikawa najitahidi niweze kufungua macho so katika kuhangaika kufungua macho nikafanikiwa kidogo ( hapa nilikuwa nahisi kabisa kama mtu ananivuta mguu..)

sasa cha kushangaza nilipokuwa nimefungua macho kidogo nikajiona mtu kama mimi bado nimelala kitandani lakini hapohapo najihisi kabisa hapa nainuka... so huyu mimi ambae najihisi nainuka nikachukua kiwiko changu nikajiwekea shingoni kwa huyu mimi niliolala nikawa kama najikaba hivi.. so baada ya sekunde kadhaa ndio hiyo hali ikaacha ndo kama fahamu Zikanirudia nikaweza kumove viungo vyote (mwanzo nilijihisi kama nimeparalyze hivi)..

NB: huwa siangalii horror movie zozote au zozote zenye mambo ya kichawi

Natanguliza shukrani
 
Mkuu ni wenge, siku nyingine kula ushibe, waza vitu positive.

Marejeo ya ndoto ni kutokana na vile uviwazavyo sana
 
Tafsiri ya ndoto yako ni kwamba mtindo wa maisha ulionao unaelekea kupata matatizo ya moyo na ikiendelea unaweza pata kiharusi, hii inaweza kuwa inasababishwa na

1: kutumia vilevi kama pombe na sigara
2: Kuwaza sana mambo ambayo hayana ufumbuzi
3: unene wa kupitiliza.

Ufumbuzi
1: kama unatumia kilevi chochote acha au punguza

2: Fanya mazoezi ya kukimbia au kutembea, pia fanya mazoezi ya yoga na meditation

3: Angalia ulaji wako

4: Ishi kwa kufanya ibada

Kama tatizo uliloeleza ni ndoto ya mara moja tu basi sababu zitakua sio hizo nilizokutajia hapo juu, ila kama hua unaota ndoto zinazofanana na hizo mara kwa mara hiyo ni dalili ya matatizo ya moyo.
 
Aisee nakuonea huruma sio Siri ingawa sijui wewe ni Dini gani Ila kama unamwani YESU basi fanya haraka Sana kimbilia kwake mapema.....
Mimi sio mtafsiri WA ndoto Ila jitahidi ufanye ibada Kwa Sana na hiyo roho ya kupooza itakuachia.
Hata kama utapata tafsiri juu ya hiyo ndoto haitakusaidia Sana kama utaamua kuchukua hatua za kumjua MUNGU
 
Tafsiri ya ndoto yako ni kwamba mtindo wa maisha ulionao unaelekea kupata matatizo ya moyo na ikiendelea unaweza pata kiharusi, hii inaweza kuwa inasababishwa na

1: kutumia vilevi kama pombe na sigara
2: Kuwaza sana mambo ambayo hayana ufumbuzi
3: unene wa kupitiliza.

Ufumbuzi
1: kama unatumia kilevi chochote acha au punguza

2: Fanya mazoezi ya kukimbia au kutembea, pia fanya mazoezi ya yoga na meditation

3: Angalia ulaji wako

4: Ishi kwa kufanya ibada

Kama tatizo uliloeleza ni ndoto ya mara moja tu basi sababu zitakua sio hizo nilizokutajia hapo juu, ila kama hua unaota ndoto zinazofanana na hizo mara kwa mara hiyo ni dalili ya matatizo ya moyo.
Shukrani mkuu...
Nitafanyia kazi ushauri wako...
 
Ulikuwa katika hatua flan ya kutoka katika mwili.Kuna uzi humu wa mambo ya kutoka katika mwili utafute.
 
Tafsiri ya ndoto yako ni kwamba mtindo wa maisha ulionao unaelekea kupata matatizo ya moyo na ikiendelea unaweza pata kiharusi, hii inaweza kuwa inasababishwa na

1: kutumia vilevi kama pombe na sigara
2: Kuwaza sana mambo ambayo hayana ufumbuzi
3: unene wa kupitiliza.

Ufumbuzi
1: kama unatumia kilevi chochote acha au punguza

2: Fanya mazoezi ya kukimbia au kutembea, pia fanya mazoezi ya yoga na meditation

3: Angalia ulaji wako

4: Ishi kwa kufanya ibada

Kama tatizo uliloeleza ni ndoto ya mara moja tu basi sababu zitakua sio hizo nilizokutajia hapo juu, ila kama hua unaota ndoto zinazofanana na hizo mara kwa mara hiyo ni dalili ya matatizo ya moyo.
 
Wewe ulivimbiwa tu hakuna lingine.

Punguza kula sana kabla ya kulala.

Tukisema usiku msile ugali hamsikii, haya sasa mnaota maluweluwe.
 
Kuna mtu unaemjua anajifanya anakupenda ila inahusda na wewe na hataki ufanikiwe/uendelee na maisha yako pia yupo radhi hata kukufanyia ubaya akasimamisha hustle zako kwa namna ya ugonjwa au yoyote ile..

Kuhusu suala ya kuona mwili mzito au kama una palalize ni ni tatizo la dalili za sukari,kaangalie mapema na uweze kucontol sukari kwa ukaribu..

Pia jaribu kulala chumba chenye mazingira yenye hewa safi..usiwe unalala chumba kina joto kama store..fungua dirisha ukiwa unalala na jipe fresh airi..huo ukinga wa kuthorota afya ukiwa usingz wote utapotea.
 
Kuna mtu unaemjua anajifanya anakupenda ila anahusda na wewe na hataki ufanikiwe/uendelee na maisha yako pia yupo radhi hata kukufanyia ubaya akasimamisha hustle zako kwa namna ya kukupa ugonjwa au yoyote ile..au mapenzi yake yanaweza kukupa hatari ya gonjwa..

Back
Top Bottom