Msaada wa taarifa ya udahili wa vyuo

Msaada wa taarifa ya udahili wa vyuo

NTEGEYE Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
322
Reaction score
286
Mdogo wangu ameomba nafasi katika vyuo Vikuu vya Dodoma, Mzumbe, Udsm na Mwalimu Nyerere.

Lakini mpaka sasa sijasikia Taarifa zozote juu ya vyuo kutoa majina ya waliomba, ama mtandaoni au magazetini. Mwenye Taarifa yoyote anisaidie
 
Back
Top Bottom