msaada wa symbian kudanwload n97

msaada wa symbian kudanwload n97

mbupupu

Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
90
Reaction score
11
naombeni msaada wa kunielekeza jinsi ya kudonwload symbian katika simu ya nokia n97 simu yangu imekuwa slow sana
 
Nakushauri kitu mkuu; Ni bora uiuze hiyo Symbian halafu ununue Android. Kuna Android nzuri kama Tecno P3 kwa bei nafuu tu. Symbian hawana support kutoka Nokia tena, plus hamna interesting apps, yaani hawana sifa tena.
 
mkuu watu wam
eshindwa kukuelewa unamaanisha nn. au unataka kuflash cm?
 
Nakushauri kitu mkuu; Ni bora uiuze hiyo Symbian halafu ununue Android. Kuna Android nzuri kama Tecno P3 kwa bei nafuu tu. Symbian hawana support kutoka Nokia tena, plus hamna interesting apps, yaani hawana sifa tena.

.
epukana na myth hzo kabsa kabsa..
.
unamshauri mwenzako aiuze ili anunue android...
.
huwezi jua mwenzako anafurahia vp kuwa na symbian... NOKIA kuachana na symbian haimaanish kuwa ndo hamna apps kabisa za SYMBIAN au ulisikia apps zote za SYMBIAN anatengeneza NOKIA ... Hata iweje SYMBIAN zitabaki till the end of the UNIVERSE walilijua hli NOKIA.. ndo mana hawaku create tym ya kwamba ziwe expired... nakwambia kiongozi na nokia ni akili zao tu za ajabu ziliwatuma waiache symbian... We jiulize symbian kama N73 ina play GTA vice city tena 3D sio 2D yakishamba yale katafute zile NGAGE games ndipo utaielewa SYMBIAN ikoje ndo mana me namkubali sana AJIT37 jamaa mpaka sasa anaisupport symbian... Me ni ANDROID PURE kabsa ila siwez mshauri Symbian user ahamie huku mana sijui anapata raha gani kule... I ll blame NOKIA until they leave WINDOWS P..
 
Mkuu C++ usiniquote vibaya kwa kumshauri mtu. Kila mtu ana point of view ya kwake. Ya kwangu ilikuwa hiyo.
 
Last edited by a moderator:

pamoja kiongozi
.
ila uliposema symbian hawana sifa tena ndipo bnafs sijapenda.. Natumai na hata wana symbian hawatapenda pia PAMOJA KIONGOZI dopee
 
Last edited by a moderator:
.
epukana na myth hzo kabsa kabsa..
.
unamshauri mwenzako aiuze ili anunue android...
.
huwezi jua mwenzako anafurahia vp kuwa na symbian... NOKIA kuachana na symbian haimaanish kuwa ndo hamna apps kabisa za SYMBIAN au ulisikia apps zote za SYMBIAN anatengeneza NOKIA ... Hata iweje SYMBIAN zitabaki till the end of the UNIVERSE walilijua hli NOKIA.. ndo mana hawaku create tym ya kwamba ziwe expired... nakwambia kiongozi na nokia ni akili zao tu za ajabu ziliwatuma waiache symbian... We jiulize symbian kama N73 ina play GTA vice city tena 3D sio 2D yakishamba yale katafute zile NGAGE games ndipo utaielewa SYMBIAN ikoje ndo mana me namkubali sana AJIT37 jamaa mpaka sasa anaisupport symbian... Me ni ANDROID PURE kabsa ila siwez mshauri Symbian user ahamie huku mana sijui anapata raha gani kule... I ll blame NOKIA until they leave WINDOWS P..

..hata me nna e52 inacheza fifa 2009 kwa 3d. Ngekua na pc ngekupa like hapo.
 
Back
Top Bottom