namba kamili (whole numbers) kama cjakosea, ni kama vile; 0,1,2,3,4,5,6,...
Faida zake ni kama:
1.Kulinganisha mambo ( for comparison) mf. familia A inawatoto 4 zaidi ya familia B.
2. Inatumika kuchagua vitu tunavyo vipenda. mf. unapobofya 0,1,2,... ktk remote yako ya tv kuchagua chanel unayoipenda unatumia namba kamili.