Msaada wa Subaru Forester au BMW 3 SERIES, X3

Wewe jamaa unajua magari Asee, itakuwa ndio ulevi wako. Siku nikizifuma hela Nitakutafuta Asee unipe maushauri
 
Kuna kitu kinaitwa Fortunate yan Subaru ya 2008, Bmw X3 ni Mrembo sana kwenye Rough Road
 
Mkuu forester ya 2011 kwa sasa tsh ngapi?
 
Kwa mtazamo wangu, X3 ina hadhi zaidi ya Subaru Forester.
Mimi nina X3 kwa miaka mitatu sasa. Haija nipa matatizo, ila mtungi mdogo wa radiator ulipasuka na kuvujisha. Zaidi ya hivyo ni kubadilisha brake pads na oil.

Subaru ina turbo, I guess ni nzuri kama unataka speed, ingawa X3 speed sio mbaya kama ukiweka gear ys sport--tiptronic.

Pia inategemea umri wako. Kama uko chini ya 45, naona Subaru itafaa. Zaidi ya 45 chukua X3 utajenga heshima

Huo ni muono wangu tu.
 
Ni kutokujua au ni msihara tuu X tatu ya 2012 ufananishe na Subaru ya 2012? nina mapenzi ya dhati na Mercedes na Land Rover ila BMW nawaheshimu sana hao jamaa...
 
Turbo ni nn
Faida
Hasara
Sisikiaki toyota ikizungumziwa turbo turbo haina au sio maarufu
Toyota wao wame base sana na natural aspired engines ingawa turbo walikua nazo kwny baadhi ya engine zao kama kwny (1JZ/2JZ/3S)-GTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…