Poleni na majukumu mazito mnayokabiliana nayo. Naomba msaada wa software kwa ajili ya kuflash simu tajwa hapo juu. Kuformat kwa njia ya kawaida imeshindikana , naona njia nzuri ni kutumia computer. Ahsanteni.

I think I know what's a problem..
Hata ukiflash tatizo haliondoki...huitaji software utakayo..unatakiwa kupata firmware yake na kufanya installation upya....mengi utayajua hapa hapa ikiwapo jinsi ya kufanikisha hilo..