Msaada wa software ya kuflash samsung galaxy note4

cheppe

Senior Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
157
Reaction score
13
Kama nilivyoeleza hapo juu naomba kwa mwenye software na stock rom file ya samsung galaxy note4 sm-n910t T-mobile usa. Au anipe link ya kudownload bure aksante
 
Kama nilivyoeleza hapo juu naomba kwa mwenye software na stock rom file ya samsung galaxy note4 sm-n910t T-mobile usa. Au anipe link ya kudownload bure aksante
Tafuta ODIN cracked version pia tafuta na Stock rom ya iyo simu
 

LINK ZOTE HAPA
1.Firmware zote za Samsung zinapatikana hapa Firmwares
2.Download programu ya Odin kupitia hapa Samsung Odin 3.12.3 - Latest Odin download Links with Samsung ROM Flashing Tool
3.Download USB Drive za Samsung kwaajili ya Windows hapa Technical Documentation | SAMSUNG Developers
4.Download USB Drive za Samsung kwaajili ya Mac hapa Download Samsung Kies for Mac - free - latest version ( kumbuka kuzima programu ya samsung kies baada ya ku-install driver )
5.Kwa Maelezo zaidi hapa Jinsi ya Kuflash Simu za Samsung za Aina Zote
Kama Una Swali au Kama Kuna Mahali Umekwama Unaweza Kuandika Kwenye Sehemu ya Comment Hapo Chini.
 
Aksante kiongozi nitaleta mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…