Hio Genymotion ilidai niweke virtual box nikaweka, dissapointingly ikataka ilipiwe kwanza ili niweze kuitumia, imenishinda hapo mkuu!Pole ndugu.
kuna alternatives mbali mbali. unaweza kuanza na Genymotion. iko vizuri na nadhan ni stable na ina features nyingi zaidi ya bluestacks.
mkuu sanahani mimi nilikuwa naukiza hivi je kuna uwezekano wa kubadili simu ya nokia asha ambayo inatumia mfumo wa Window iwe inakubali kutumia Android?Pole ndugu.
kuna alternatives mbali mbali. unaweza kuanza na Genymotion. iko vizuri na nadhan ni stable na ina features nyingi zaidi ya bluestacks.
1. Hakuna Windows phone ambayo ipo kwenye Asha series.mkuu sanahani mimi nilikuwa naukiza hivi je kuna uwezekano wa kubadili simu ya nokia asha ambayo inatumia mfumo wa Window iwe inakubali kutumia Android?
Mi nna huawei inatumia windows os naweza iweka android os?1. Hakuna Windows phone ambayo ipo kwenye Asha series.
2. Kuna Lumia chache tu ambazo zimefanikishwa kurun android, ingawa performance inakuwa siyo nzuri sana na battery life inaweza kuwa low zaidi, kutokana na Lumias zilikuwa optimized ku run windows phone OS kwa kiwango husika cha battery kutoka kiwandani.
Specify ni model gani, mind you unaqeza kubrick simu yako kama haupo makini na ukakosea steps.Mi nna huawei inatumia windows os naweza iweka android os?
Tumia Nox player,iko simple and smooth.Habar wadau,
Imekuwa bahati mbaya kwangu weekend iliopita nimevunja screen ya simu yangu halafu spea imekuwa mtihani kupata. Kama tunavyojua raha ya smartphone iko kwenye mengi hasa mitandao ya kijamii kama whatsapp n.k. ni siku chache toka simu ipasuke ila najihisi kama yatima aisee. Ninatafuta software ya kuweza ku run android apps haswa whatsapp, mwanzoni nilikuwaga natumia bluestacks app player enzi za windows 7 ikawaga freshi ila nimeijaribu install kwenye windows 10 inagoma ku start kabisa! Anaejua software mbadala wa blue stacks anipe shavu kama vipi!
Huawei w2-uo51Specify ni model gani, mind you unaqeza kubrick simu yako kama haupo makini na ukakosea steps.
Haina chief,nmeitumia kipind flani iko poa sana.Shukran mkuu, hio nox haina mambo ya kudai nilipie kwanza
kama walivyosema wadau hapo juu nox player ipo vizuri kwa sasa, pia nyengine hiziHabar wadau,
Imekuwa bahati mbaya kwangu weekend iliopita nimevunja screen ya simu yangu halafu spea imekuwa mtihani kupata. Kama tunavyojua raha ya smartphone iko kwenye mengi hasa mitandao ya kijamii kama whatsapp n.k. ni siku chache toka simu ipasuke ila najihisi kama yatima aisee. Ninatafuta software ya kuweza ku run android apps haswa whatsapp, mwanzoni nilikuwaga natumia bluestacks app player enzi za windows 7 ikawaga freshi ila nimeijaribu install kwenye windows 10 inagoma ku start kabisa! Anaejua software mbadala wa blue stacks anipe shavu kama vipi!
Asha sio Windows ila ni Symbian 40mkuu sanahani mimi nilikuwa naukiza hivi je kuna uwezekano wa kubadili simu ya nokia asha ambayo inatumia mfumo wa Window iwe inakubali kutumia Android?