random access memory (RAM) ni sehem ambapo vitu huhifadhiwa kwa uelewa mdogo zile program za simu kama facebook ,whatsapp ,twitter, viber na vingine ambavyo hutumika kwenye simu au komputa huwekwa. ngoja tuwasubiri ma IT waje maana elimu haina mwisho
Ivi kwenye simu, rum ni nini mfano tecno p5 ina rum 512 mb na tecno m5 ina rum 1gb, na mhz ni nini moja ina 1000 na nyingine 1300. Niambie mwenyekujua plz
guys hamjibiwi sababu mnauliza kitu ambacho kimeshajibiwa zaidi ya mara 100 simple search ungepata majibu yote.
ram ni sehemu ambapo mafile yako ambayo umeyafungua yanakaa.
mfano ukiingia facebook basi inakaa kwenye ram ila ukitoka inaondoka kwenye ram.
ukiwa na ram kidogo basi hutaweza kufungua app nyingi kwa mpigo.
kuna application nyengine kama whatsapp huwa muda wote zinakuwa open hivyo zinakula ram.
ram ikiwa ndogo na kujaa simu nayo inakuwa slow.
mhz ni clock speed ya processor jinsi inavyokuwa kubwa basi ndio inavyozidi kuwa na kasi
chiefmkwawa nasikia kuwa wewe ni nguli kwenye simu za nokia naitaji msaada tafadhli, simu yangu imezidiwa ni E 71 i nikiiwasha inapiga harzad na file zinajifungua na kujifuta,
chiefmkwawa nasikia kuwa wewe ni nguli kwenye simu za nokia naitaji msaada tafadhli, simu yangu imezidiwa ni E 71 i nikiiwasha inapiga harzad na file zinajifungua na kujifuta,
sorry kwa kuuliza jaman,,,Try hii download software yako ya simu kisha download infinity box na nokia Pc suite kisha weka software yako kwenye infinity box kisha flah simu ikiwa umezima
haya maelez naon yanamtosha xana kwa kuanzia.guys hamjibiwi sababu mnauliza kitu ambacho kimeshajibiwa zaidi ya mara 100 simple search ungepata majibu yote.
ram ni sehemu ambapo mafile yako ambayo umeyafungua yanakaa.
mfano ukiingia facebook basi inakaa kwenye ram ila ukitoka inaondoka kwenye ram.
ukiwa na ram kidogo basi hutaweza kufungua app nyingi kwa mpigo.
kuna application nyengine kama whatsapp huwa muda wote zinakuwa open hivyo zinakula ram.
ram ikiwa ndogo na kujaa simu nayo inakuwa slow.
mhz ni clock speed ya processor jinsi inavyokuwa kubwa basi ndio inavyozidi kuwa na kasi
Poa asanten sana
Kwa ufafanuzi mwingine
RAM nikama uwanja wa kuchezea michezo mbali mbali. Hivyo basi kama uwanja ni mdogo, michezo nayo itabidi ipungua isichezeke kwa wakati mmoja, kama uwanja ni mkubwa itachezeka michezo mingi kwa wakati mmoja.
Na
ROM chukulia mfano wa chumba cha kuhifadhia vitu. Kikiwa kidogo utahifadhi vitu kidogo, kikiwa kikubwa utahifadhi vitu vingi.
Naomba kuwasilisha.