Jaribu kusafisha hiyo tundu ya headphone..tumia hata stick zile za maskion isafishe vizur kisha angalia kama utafanikiwaRejea kichwa cha habari..
(Samsung Galaxy Grand Prime)...Simu yangu imeanza tatzo la kuonyesha alama ya EARPHONE juu..ambayo inapelekea mtu nikimpigia siwezi kumsikia mpaka niweke Loudspeaker...
NAJUA HUMU KUNA WATAALAMU...naomba msaada tatzo hili nifanyeje?
Tafuta earphone. Chomeka kisha ichomoe km hauna nenda kweny maduka yanayouza earphone jifanya km unataka kununua. Chomeka fanya setting kisha itoe. Kisha waambie sijaipenda hiyo earphone (Hii njia km hauna hela ya kununulia earphone km unayo buy it)Tatizo litakuwa limeishayenyewe ndo inaniambia kwamba EARPHONE IS CONNECTED
Tumia njia ya kcamp kwanza. Ikishindikana jaribu hiyo ya 2yenyewe ndo inaniambia kwamba EARPHONE IS CONNECTED
Earphone ninazo....na nishafanya yote....Tafuta earphone. Chomeka kisha ichomoe km hauna nenda kweny maduka yanayouza earphone jifanya km unataka kununua. Chomeka fanya setting kisha itoe. Kisha waambie sijaipenda hiyo earphone (Hii njia km hauna hela ya kununulia earphone km unayo buy it)Tatizo litakuwa limeisha
Kweny setting naenda sehemu ipiTafuta earphone. Chomeka kisha ichomoe km hauna nenda kweny maduka yanayouza earphone jifanya km unataka kununua. Chomeka fanya setting kisha itoe. Kisha waambie sijaipenda hiyo earphone (Hii njia km hauna hela ya kununulia earphone km unayo buy it)Tatizo litakuwa limeisha
ilipofikia inabidi umwone fundi akusaidie. ucrestore kupoteza vitu vyako bure kwasababu haitosaidia.Au ni restore
Chomeka earphone kisha uende sehemu ya call setting au profile.Kcamp iyo nafanyaje mkuu
Fanya data recovery. Utapata vitu vyakoNimerestore...nimepoteza kila kitu mkuu...
Nahita touch ya hii kitu ni shiling ngapi jamani,Rejea kichwa cha habari..
(Samsung Galaxy Grand Prime)...Simu yangu imeanza tatzo la kuonyesha alama ya EARPHONE juu..ambayo inapelekea mtu nikimpigia siwezi kumsikia mpaka niweke Loudspeaker...
NAJUA HUMU KUNA WATAALAMU...naomba msaada tatzo hili nifanyeje?