chakii JF-Expert Member Sep 15, 2013 19,745 22,891 Jun 11, 2015 #1 Habari wakuu Nimedownload app ya Simu Tv kwenye simu yangu ya HTC Desire 8181. Kwa bahati mbaya kila nikijaribu kufungua video inaniambia " Sorry this video can not played". Naombeni msaada wenu namna ya kurekebisha hili tatizo. Nashukuru!!
Habari wakuu Nimedownload app ya Simu Tv kwenye simu yangu ya HTC Desire 8181. Kwa bahati mbaya kila nikijaribu kufungua video inaniambia " Sorry this video can not played". Naombeni msaada wenu namna ya kurekebisha hili tatizo. Nashukuru!!
samsun JF-Expert Member Feb 9, 2014 7,386 5,954 Jun 15, 2015 #3 chakii said: Habari wakuu Nimedownload app ya Simu Tv kwenye simu yangu ya HTC Desire 8181. Kwa bahati mbaya kila nikijaribu kufungua video inaniambia " Sorry this video can not played". Naombeni msaada wenu namna ya kurekebisha hili tatizo. Nashukuru!! Click to expand... Mkuu hiyo cm ni yenyewe au ni kutoka kwa xi jin ping mana yake nayo inafanana na original ambayo kama si mzoefu unaivamia na ndo baadhi ya appl hazipigi kazi
chakii said: Habari wakuu Nimedownload app ya Simu Tv kwenye simu yangu ya HTC Desire 8181. Kwa bahati mbaya kila nikijaribu kufungua video inaniambia " Sorry this video can not played". Naombeni msaada wenu namna ya kurekebisha hili tatizo. Nashukuru!! Click to expand... Mkuu hiyo cm ni yenyewe au ni kutoka kwa xi jin ping mana yake nayo inafanana na original ambayo kama si mzoefu unaivamia na ndo baadhi ya appl hazipigi kazi